Tuesday, 28 October 2014

MWANA FA KUANGUSHA BONGE LA SHOO NYUMBANI TANGA


 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mwana FA(kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapopichani) kuhusiana na maandalizi ya shoo yake ya “Vodacom life is better”atakayoifanya siku ya ijumaa kwenye klabu ya La Casachika mjini Tanga, Anaeshuhudia katikati ni Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusianowa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia na kulia ni Meneja wa msanii huyo Lusajo Mwaisaka.…
 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mwana FA(kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapopichani) kuhusiana na maandalizi ya shoo yake ya “Vodacom life is better”atakayoifanya siku ya ijumaa kwenye klabu ya La Casachika mjini Tanga, Anaeshuhudia katikati ni Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusianowa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia na kulia ni Meneja wa msanii huyo Lusajo Mwaisaka.
 
Mkuu wakitengo cha Mawasiliano na uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia (katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapopichani) wakati alipokuwa akizungumzia kuhusiana na shoo ya”Vodacom life is better”itakayofanywa na msanii wa muziki wa kizazi kipya Mwana FA (kushoto)siku ya ijumaa katika klabu ya La Casachika mjini Tanga. Kulia ni Meneja wa msanii huyo LusajoMwaisaka.

No comments:

Post a Comment