
Wiki moja baada ya kutokea kwa msiba wa mmoja wa wasanii wa TMK Wanaume Family
YP na saa chache baadaye ukatokea msiba mwingine wa aliyekuwa msanii wa maigizo na vichekesho
Sherry Mwana, leo Oktoba 30 umetokea msiba mwingine Bongo Movie.
Taarifa za awali zimeanza kusambaa
kupitia watu mbalimbali maarufu Tanzania ambao wameaanza kuonyesha
masikito yao akiwemo msanii Bob Junior kuhusu kifo cha mzee Manento
ambaye inadaiwa amefariki jana usiku.
millardayo.com inaendelelea kufuatilia kwa ukaribu kuhusiana na taarifa ya msiba huo.
Ni halali yako kupata kila stori
inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia
twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza
>>>
twitter Insta Facebook
No comments:
Post a Comment