Mwenyekiti
wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa Mh James Mbatia akiongozana na makamu
mwenyekiti wa shule ya sekondari Pakula Julius Furaha(mwenye suti ya
Blue) baada ya kupokelewa kwa ajili ya mahafali na harambee ya ujenzi wa
Bweni.
Baada a mchango huo kina mama walimbeba Mbatia huku wakishangilia .

Baada a mchango huo kina mama walimbeba Mbatia huku wakishangilia . Makamu mwenyekiti wa Bodi ya shule ya sekondari Pakula,Paroko Julius Furaha akizungumza wakati wa mahafali hayo. Mkuu
wa shule ya sekondari Pakula Lolenzo John akimkabidhi Mh,Mbatia zawadi
ya Mbuzi dume wakati wa mahali ya wanafunzi wa kidato cha nne katika
shule hiyo.
Mkuu

No comments:
Post a Comment