OHOOOO! Wasanii wa filamu Bongo, Riyama Ally na Rose Ndauka wamemkomalia msanii mwenzao, Jacob Steven ‘JB’ akate mauno mbele ya hadhara kitendo ambacho kilimshinda msanii huyo mwenye ‘weight’ ya kutosha.

Tukio hilo lilijiri mwishoni wa wiki iliyopita maeneo ya Mwananyamala jijini Dar kulipokuwa na sherehe…

OHOOOO! Wasanii wa filamu Bongo, Riyama Ally na Rose Ndauka wamemkomalia msanii mwenzao, Jacob Steven ‘JB’ akate mauno mbele ya hadhara kitendo ambacho kilimshinda msanii huyo mwenye ‘weight’ ya kutosha.

Tukio hilo lilijiri mwishoni wa wiki
iliyopita maeneo ya Mwananyamala jijini Dar kulipokuwa na sherehe ya
bethidei ya mtangazaji wa kituo cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’
ambapo wasanii hao walimkomalia JB atoe shoo akawagomea kwa kisingizio
cha kuokoka.
“Jamani sasa mbona mnanilazimisha hivi, nyie watoto acheni
kunikomalia au mmeshalewa? Mimi siwezi kucheza bwana sasa hivi
nimeokoka,”alisema JB jambo ambalo liliwafanya wanadada hao kuishiwa
pozi pamoja na kumshawishi kwa muda mrefu.
No comments:
Post a Comment