Gari aina ya Toyota Noah likiwa limepinduka katika ajali hiyo.
Gari aina ya Toyota Hiace iliyogonga kwenye mara baada ya ajali.
Ajali imetokea leo mchana ktk maeneo ya Airpot eneo linalojulikana
kama Makutano ya barabara ya AIRPORT ARUSHA. Ni baada ya askari polisi
kusimamisha kwa ghafla gari aina ya Toyota Hiace.
(Picha na Glabal WhatsApp…
Gari aina ya Toyota Noah likiwa limepinduka katika ajali hiyo.
Gari aina ya Toyota Hiace iliyogonga kwenye mti mara baada ya ajali.
Ajali imetokea leo mchana ktk maeneo ya Airpot eneo linalojulikana
kama Makutano ya barabara ya AIRPORT ARUSHA. Ni baada ya askari polisi
kusimamisha kwa ghafla gari aina ya Toyota Hiace.
(Picha na Glabal WhatsApp +255767992956)
No comments:
Post a Comment