
Taarifa zilizotufikia hivi punde zimesema Kamati Ya Hesabu za Serikali (PAC) Tanzania imeagiza ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kufanya ukaguzi wa mchakato wa ubinafsishaji wa iliyokuwa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC).
Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa
Kamati ya Hesabu za Serikali Zitto Kabwe, kupitia ukurasa wake wa
Instagram (@zittokabwe) dakika chache baada ya kumalizika kwa kikao
alichokifanya na waandishi wa habari Dar es Salaam leo.


Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook
No comments:
Post a Comment