Chid Benz akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar.
HATIMAYE msanii wa
muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro 'Chid Benz' leo asubuhi amepata
dhamana baada ya kutimiza masharti ya kesi yake ya kukamatwa na dawa za
kulevya.Msanii huyo, jana alipandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashitaka matatu ya kukutwa na madawa ya kulevya ambapo alishindwa kutimiza masharti ya dhamana ya shilingi milioni 1 pamoja na wadhamini wawili…

Chid Benz akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar.
HATIMAYE msanii wa
muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro 'Chid Benz' leo asubuhi amepata
dhamana baada ya kutimiza masharti ya kesi yake ya kukamatwa na dawa za
kulevya.Msanii huyo, jana alipandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam na kusomewa mashitaka matatu ya kukutwa na madawa ya kulevya ambapo alishindwa kutimiza masharti ya dhamana ya shilingi milioni 1 pamoja na wadhamini wawili wasiokuwana hatia.
Kesi yake itasikilizwa tena Novemba 11 mwaka hu
No comments:
Post a Comment