KUELEKEA Uchaguzi MkuuTanzania.
MINYUKANO NDANI YA CCM.
Wadau salaam kwenu
Muhtasari wa habari: Ni wazi sasa kuwa pesa za IPTL (ESCROW account)
zatumika kumfanyia Pinda Mizengo kampeni (kumbuka katika hilo sakata,
Pinda ndiyo mhusika mkuu).
Habari kamili:
Waziri mkuu wa Tanzania (almaarufu kama mzee wa kulia lia) kwa kushirikiana na Eliakim Maswi (katibu mkuu kiongozi wake mtarajiwa) wamediriki kufikia uamuzi wa ajabu sana kwa kutumia fedha za IPTL ambazo ni fedha za walalahoi kwa ajili za kujihimarisha katika kampeni ya kuelekea magogoni (kumbuka Pinda kashatangaza kugombea urais).
Siku ya Alhamisi tarehe 16, october, 2014, vijana wa Maswi (George Marwa na moja anayejulikana kwa jina moja la Mole) walimkabidhi mbunge wa viti maalum Martha Mlata jumla ya shillingi 300,000,000/= (millioni mia tatu taslimu), kwa ajili ya kuwakarimu wajumbe wa NEC. Makabidhiano ya fedha hizo zilifanyika nyumbani kwa Mheshimiwa Martha Mlata flat za National Housing zilizopo Makole (karibu na petrol station ya shabibu).
Ni hizo pesa zilizotumika katika kuwapa wajumbe wa Nec (kumbuka kikao cha NEC kilikuwepo Dodoma), baada ya Mheshimiwa Martha kuzipokea alizigawa katika mafungu matatu; fungu la kwanza alipewa Mstahiki meya wa jiji la Dar es Salaam Didas Masaburi na kituo chake cha operation kilikuwa katika Hotel ya st Gasper Dodoma, Abdalla Bulembo (aka darasa la saba) kituo chake kilikuwa katika Dodoma Hotel na fungu la mwisho alibaki nalo martha mwenyewe akisaidiana kwa ukaribu na Sara Msafiri (ambaye inasemekana ni mchepuko wa mzee muhusika tajwa hapo juu)....
Baada ya taarifa hizo kuzagaaa, kamati ya maadili inayoongozwa na comrade Mangula Philip ilipopata taarifa jinsi pesa za IPTL wanavyotafuna watu hakusita kulisemea hili na kukemea kwa nguvu kubwa. Wakati wa kuwakilisha taarifa ya maadili Mh. Mangula alinukuliwa akisema kuna ATM mpya......naomba kunukuu ..."Mheshimiwa mwenyekiti kuna ATM mpya imeibuka inagawa pesa Dodoma Hotel na St.Gasper na mbaya zaidi ni fedha za ESCROW naomba waache mara moja wakiendelea kutoa rushwa hata kama hana onyo hatutasita kumkata jina wakati ukifika" mwisho wa kunukuu.....
Mytake: Ngoma pamefikia patamu.............
chanzo: JF

No comments:
Post a Comment