Wednesday, 22 October 2014

MIKE TEE AVAMIWA NA MAJAMBAZI

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva,Mike Mwakatundu ''Mike Tee'' anaumaliza mwaka 2014 vibaya baada kuvamiwa na watu wenye silaha na kumpora mali zake zenye thamani ya mamilioni, mike tee ameandika kwenye account yake ya facebook maneno yafuatayo:
"leo hii asubuhi majira ya saa 05:30 nikiwa naelekea ofisini , nimevamiwa na watu watano wenye mapanga wakiwa na gari aina rav4 ya silver no. t280azq wamechukua laptop yangu mac book pro, external hdd 4, headphones za sony na modem.
Nnachoshukuru nimepona ila nnachoomba atakayeiona gari hii popote atutaarifu kwa number +255754310202 / na ntampatia cash 300,000 then ntadeal nao mwenyewe.

No comments:

Post a Comment