
Watoto hao Jee Kinson mwenye miaka 13,
na Jee Kinland wameorodhesha majina ya shirika hilo la ndege, maafisa wa
idara ya usalama wa anga na uhamiaji, na mkuu wa kikosi cha jeshi la
anga kuwa wamehusika moja kwa moja na upotevu wa ndege hiyo mwezi Machi 8
mwaka huu.

Mwanasheria wa watoto hao, Arunan Selvaraj (katikati) akizungumza na wandishi wa habari nje ya mahakama.
Baba wa watoto hao alikuwa mmoja wa
abiria ndani ya ndege hiyo akitokea Kuala Lumpur Malaysia kuelekea
Beijing China, tangu imepotea zimepita siku 237 na jitihada za kuitafuta
bado zinaendelea.
No comments:
Post a Comment